Kuna wakati changamoto za maisha na utafutaji zinaweza kupelekea mahusiano kuyumba na muda mwingine kuvunjika kabisa.
Lakini ukiwa na mtu, mnayesikilizana, kuombeana na kuamini kuwa kesho yenu ni bora kuliko leo, huyo ni mtu sahihi sana kwako, mnapendezana!
